بِي وَجْدٌ لَا يَدْرِيهِ
Nina shauku moyoni mwangu
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
separator
بِـي وَجْـدٌ لَا يَـدْرِيـهِ
إِلَّا مَـنْ يَـسْـكُـنُ فِـيـهِ
Nina shauku moyoni mwangu isiyojulikana,
Ila kwa yule anayeishi ndani yake
أُبْـدِيـهِ أَوْ أُخْـفِـيـهِ
هُـوَ مِـلْـكُ رَسُـولِ الـلّٰـهْ
Nionyeshe au nifiche,
Ni mali ya mtume wa Allah.
separator
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
separator
يَـا أَهْـلَ وِدَادِي خُـذُونِـي
عِـنْـدَ الـحَـبِـيـبِـي دَعُـونِـي
Enyi watu wangu wapendwa, nichukueni
Kwa mpenzi wangu na mniachie hapo
سِـيـبُـونِـي وَلَا تَـرِدُّونِـي
فِـي رَوْضِ رَسُـولِ الـلّٰـهْ
Niacheni na msinirudishe
Katika Rawda ya mtume wa Allah
separator
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
separator
وَعَـلَـى الـكَـثِـيـبِ أُنَـادِي
هَـاكُـمُ يَـا أَحْـبَـابِـي
Juu ya kilima cha mchanga ninakuita,
Hapa watu wangu wapendwa
فِـي بَـطْـنِ ذَاكَ الـوَادِي
قَـدْ قَـامَ رَسُـولُ الـلّٰـهْ
Hii ni bonde
Ambapo mtume wa Allah aliishi
separator
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
separator
قَـدْ طَـالَ شَـوْقِـي إِلَـيْـهِ
وَالـنُّـورُ فِـي عَـيْـنَـيْـهِ
Nimekumisi kwa muda mrefu
Na nuru machoni pake
وَالـسِّـرُّ طَـارَ إِلَـيْـهِ
شَـوْقًـا لِـرَسُـولِ الـلّٰـهْ
Na siri iliruka kwake,
Kwa hamu ya mtume wa Allah
separator
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
separator
وَمَـدَحْـتُ بِـطَـيْـبَـةَ طَـهَ
وَدَعَـوْتُ بِـطَـهَ الـلّٰـهَ
Katika Taiba nilimsifu Taha
Na nikamwita Allah kwa Taha
أَنْ يَـحْـشُـرَنِـي أَوَّاهَـا
بِـلِـوَاءِ رَسُـولِ الـلّٰـهْ
Kuniunganisha na Allah,
Mwenye huruma miongoni mwa kabila la mtume wa Allah
separator
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
separator
فَـشَـكَـوْتُ إِلَـيْـهِ ذُنُـوبِـي
فَـاسْـتَـغْـفَـرَ لِـي مَـحْـبُـوبِـي
Nilimlalamikia dhambi zangu,
Na mpenzi wangu aliniombea msamaha
وَرَجَـعْـتُ بِـغَـيْـرِ عُـيُـوبٍ
مِـنْ عِـنْـدِ رَسُـولِ الـلّٰـهْ
Na nilirudi bila makosa
Kutoka mji wa mtume wa Allah
separator
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
separator
وَهُـنَـاكَ أَمُـوتُ وَأَحْـيَـا
وَالـرُّوحُ بِـطَـهَ تَـحْـيَـا
Na hapo nilikufa na kupewa uhai mpya,
Na roho inaishi kwa (upendo wa) Taha
فَـأَكَـادُ أُنَـاجِـي الـوَحْـيَ
فِـي رَوْضِ رَسُـولِ الـلّٰـهْ
Nilihisi kama nilikaribia kuzungumza na Gabriel
Katika Rawda ya mtume wa Allah
separator
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـى مُـحَـمَّـدْ
صَـلَّـى الـلّٰـهُ عَـلَـيْـهِ وَسَـلَّـمْ
Ametuma Allah rehema zake kwa Muhammad,
Ametuma Allah rehema na amani juu yake
separator
فَـشَـعُـــرْنَـا بِـهِ يَـسْـمَـعُـنَـا
لَـمْ يَـكَـدِ الـكَـوْنُ يَـسَـعُـنَـا
Tulihisi kuwa alitusikia,
Ulimwengu haukutosha kushikilia msisimko wetu
رَبَّـاهُ بِـهِ فَـاجْـمَـعْـنَـا
عَـلَـى حَـوْضِ رَسُـولِ الـلّٰـهْ
Ee Allah tuunganishe naye
Karibu na birika la mtume wa Allah